Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) Sheikh Suleiman Lolila Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir Ikulu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picjha ya kumbukumbu na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) Sheikh Suleiman Lolila Ikulu.
No comments:
Post a Comment