KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Thursday, October 20, 2016

KINANA AKUTANA NA ABALOZI WA SUDAN JIJINI DAR ESSALAAM.

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Ofisini kwake, Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Mahgoub Ahmed Sharfi, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika,   Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Mahgoub Ahmed Sharfi, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM.
  Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Mahgoub Ahmed Sharfi, akifafanua jambo wakati alipokuwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Mahgoub Ahmed Sharfi,baada ya mazngumzo yao yaliyofanyika katika  Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam,PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO-theNkoromo Blog

No comments: