KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Saturday, January 21, 2017

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI SITA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.

 Rais John  Magufuli  akimuapisha Emanuel Nchimbi kuwa Balozi Nchini Brazili, Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais  John  Magufuli akimuapisha Dkt. James Msekela  kuwa Balozi Geneva –Umoja wa Mataifa,
 Rais John  Magufuli akimuapisha Mbelwa Kairuki kuwa Balozi nchini China.
 Rais John  Magufuli akimuapisha George Madafa kuwa Balozi nchini Italia.
Rais John  Magufuli akimuapisha Profesa Elizabeth Kiondo kuwa Balozi nchini Uturuki.
 Rais  John  Magufuli akimuapisha Fatma Rajab  kuwa balozi nchini Qatar.
Mabalozi wateule wakila kiapo cha Uadilifu mara baada ya kuapishwa na Rais John Magufuli Ikulu  Dar es Salaam. Wakwanza kulia ni Balozi Emanuel Nchimbi, Balozi Dkt. James Msekela  , Balozi Mbelwa Kairuki, Balozi George Madafa, Balozi Prof. Elizabeth Kiondo na Balozi Fatma Rajab
Rais John Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan katika picha ya pamoja na Mabalozi wateule mara baada ya kuwaapisha.

Rais John  Magufuli akizungumza na Mabalozi mbalimbali aliowaapisha Ikulu  Dar es Salaam.(PICHA NA IKULU).

No comments: