KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Saturday, January 21, 2017

WAZIRI NAPE NNAUYE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ITALIA NCHINI.


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (kulia) akisalimiana na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Roberto Mengoni wakati alipotembelewa ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,Nape Nnauye (kulia) akifanya mazungumzo na mgeni wake ambaye ni Balozi wa Italia nchini Tanzania, Roberto Mengoni kuhusu mausuala mbalimbali ya habari.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (kulia) akifafanua baadhi ya masuala mbalimbali yanayohusiana na habari wakati alipofanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Roberto Mengoni ofisini kwake.

Balozi wa Italia nchini Tanzania, Roberto Mengoni (kushoto) akieleza masuala mbalimbali yanayohusiana na habari na utamaduni wa Italia wakati alipomtembelea Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, Jijini Dar es Salaam.

No comments: