KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Wednesday, April 5, 2017

Waziri Dk. Harrison Mwakyembe azindua vifaa vya kufundishia vyenye thamani ya Sh.Milioni 100.


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto) akipokelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA), Dk. Herbet  wakati alipowasili katika taasisi hiyo kuzindua vitendea kazi.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (mwenye tai nyekundu) akiwa ameongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) Dk. Herbet Makoye pamoja na viongozi wengine na watendaji wa TaSUBA wakati alipowasili katika taasisi hiyo kuzindua vitendea kazi Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani.
<

No comments: