KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Monday, July 1, 2013

MKURUGENZI MKUU WA VETA ATEMBELEA BANDA LA VETA AFURAHISHWA UJUZI UNAOTOLEWA NA WANAFUNZI WANAOSOMA KATIKA CHUO HICHO.

 Mkurugenzi Mkuu wa VETA mhandisi Zebadiah Moshi akiangalia mashine ya kufua umeme ambayo ikishawaka hujiendesha yenyewe wakati alipotembelea banda la chuo hicho kwenye ufunguzi  wa maonesho ya 37 ya biashsra ya kimataifa ya  Dar es Salaam maarufu kama sabasaba.
 Mkurugenzi Mkuu wa VETA mhandisi Zebadiah Moshi akionyeshwa moja ya nguo zilizotenengenezwa na  mwanafunzi  wa VETA Chang’ombe Paulina Emmanuel wakati alipotembelea katika mabanda ya chuo hicho  yaliyopo katika  maonyesho ya 37 ya biashara ya kimataifa ya  Dar es Salaam.Katikati ni Afisa Uhusiano wa VETA  Dora Tesha.
 Mfalme Mswati (iii) wa Swaziland akifurahia zawadi aliyokabidhiwa baada ya kufungua maonyesho ya 37 ya kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jijini Dar es Salaam jana.Kulia ni waziri Mkuu Mizengo Pinda na Waziri wa Viwanda na Biashara Dk Abdallah Kigoda.
 Mkurugenzi Mkuu wa VETA mhandisi Zebadiah Moshi akionyeshwa moja ya nguo zilizotenengenezwa na  mwanafunzi  wa chuo cha TMGE kilichopo Pungu Kajiungeni Angel Samuel wakati alipotembelea katika mabanda ya chuo hicho  yaliyopo katika  maonyesho ya 37 ya biashara ya kimataifa ya  Dar es Salaam.katikati niAfisa habari Dora Tesha.
 Mkurugenzi Mkuu wa VETA mhandisi Zebadiah Moshi akiangalia moja ya shati lililotengenezwa na mwanafunzi wa Chuo cha TMGE  Angel Samwel (kulia) wakati alipotembelea katika banda hilo lililopo katika maonesho ya 37 ya biashara ya kimataifa yanayoendelea jijini Dar es Salaam.Katikati ni Afisa Habari wa VETA Dora Tesha.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiteta jambo na    Mfalme Mswati (iii) wa Swaziland wakati wa Uzinduzi rasmi wa maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam ,maarufu kama sabasaba.
Waandishi wa habari John Dande na Omari Fungu wakipata maelezo juu ya utengenezaji wa shati kupitia kitenge kutoka kwa mwanafunzi  wa chuo cha TMGE kilichopo Pungu Kajiungeni Angel Samuel wakati alipotembelea katika mabanda ya chuo hicho  yaliyopo katika  maonyesho ya 37 ya biashara ya kimataifa ya  Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa VETA mhandisi Zebadiah Moshi akionyeshwa na Mwanafunzi wa  chuo cha VETA Kihonda Mashine ya kupukuchuria mahindi ambayo inauzwa kwa shilingi 1.500,000. Wakati alipotembelea katika maonyesho ya37ya kimataifa ya Julius nyerere jijini Dar es Salaam.

 Mkurugenzi Mkuu wa VETA mhandisi Zebadiah Moshi akipewa maelezo na mwanafunzi wa  Chuo ch VETA Chan’gombe Shabani  Mohamed juu ya umeme wa Magari  Wakati alipotembelea katika maonyesho ya37ya kimataifa ya Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wafanyakazi wa VETA wakifuatilia hutuba ya Mfalme Mswati (iii) wa Swaziland wakati wa Uzinduzi rasmi wa maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam ,maarufu kama sabasaba katika ukumbi wa Kawawa.
Mkurugenzi Mkuu wa VETA mhandisi Zebadiah Moshi akipewa maelezo na mwanafunzi wa  Chuo ch VETA Chan’gombe Shabani  Mohamed juu ya umeme wa Magari  Wakati alipotembelea katika maonyesho ya37ya kimataifa ya Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

No comments: