KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Monday, July 1, 2013

RAIS OBAMA, FAMILIA YAKE NA WAMAREKANI WATUA TANZANIA DAR ES SALAAM.

 Viongozi Rais wa Zanzibar Dk,Shein,Makamu wa pili wa rais,Seif na wengine wakiwa Uwanja wa ndege.
 Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma na Balozi wa Marekani nchini.
 RAIS wa Marekani Barak Obama akiwapungua mkono Wananchi waliofika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Tanzania alipowasili kwa ziara ya siku mbili Nchini Tanzania.

 Obama na mtoto wake wakishuka katika ndege.
 GARI la Rais Obama likiwa katika uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere


RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Rais wa Marekani Barak Obama alipowasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Tanzania akitokea Nchini Afrika Kusini.

No comments: