Mwenyekiti
wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete wakati akifunga mafunzo kwa watendaji
na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, usiku wa kuamkia leo Oktoba 25,
2013 katika ukumbi wa mikutano wa CCM wa ‘White House’ mjini Dodoma. Mafunzo
hayo yaliyokuwa ya siku nne yalifunguliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM,
Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein. Kulia kwake ni Makamu Mwenyekiti wa CCM
(Bara) Ndugu Philip Mangula na kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu
Abdulrahman Kinana.(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment