KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Monday, February 17, 2014

MDAU - ABDILAHI O.JUMA AOMBA MAOMBI YENU

Salamu kwa wenzangu kokote mliko
         Napenda kuchukua fursa hii kuwataarifu kuwa hivi karibuni nilipata ajali ambayo ilinipelekea kuvunjika kwa mfupa uliopo baina ya shingo. na bega hivyo natarajia kufanyiwa UPASUAJI SIKU YA J5 Tar.19/2/2014.
                           MAOMBI YENU YANAHITAJIKA SANA KATIKA HILI 
ABDILAHI O.JUMA

No comments: