Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP
Ernest Mangu, akisalimiana na makamishna wa Jeshi la Polisi baada ya kuwasili
kwa ajili ya kumpokea mgeni rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya ndani kwenye ufunguzi
wa mkutano Mkuu wa Maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika
katika chuo cha taaluma ya Polisi Moshi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la
Polisi.
Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Mh,
Pereira Ame Silima akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu
baada ya kuwasili katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi kwa ajili ya kufungua
mkutano Mkuu wa Maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika
chuo hicho.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP
Ernest Mangu akitoa hotuba jana katika ukumbi wa Chuo cha Taaluma ya Polisi
Moshi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua mkutano Mkuu wa Maofisa wakuu
waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika chuo hicho.

Maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la
Polisi wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya ndani, Mhe.
Pereira Ame Silima kwenye ufunguzi wa mkutano Mkuu wa Maofisa wakuu waandamizi
wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika chuo cha taaluma ya Polisi Moshi. (Picha
na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi).
No comments:
Post a Comment