KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Sunday, February 16, 2014

NEC YA CCM MITAMBONI MJINI DODOMA.

 Wajumbe wa NEC, na Kamati Kuu ya CCM, Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai  wakiwa ukumbini. Kushoto ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha NEC, leo Feb 26, 2014. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Rais wa Zanzibar Dk. Sheni.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai wakijadili jambo ukumbini. Katikati  ni Katibu wa NEC,Oganaizesheni Mohammed Seif Khatib.
  Mjumbe wa NEC, Profesa Anna Tibaijuka akimtegea sikio kwa makini mjumbe mwenzake, Profesa Mark Mwandosya wakati wakiteta jambo ukumbini wakati wa kikao hicho.
  Wajumbe wa NEC, Balozi Ali Mchumo na Dk. Asha-Rose Migiri wakijadili jambo ukumbini. Kushoto ni Khatib.
 Wajumbe ukumbini
 Wajumbe ukumbini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe  akizungumza na  Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu Martine Shigela nje ya  ukumbi, baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maandili ya CCM, leo. Membe baadaye alihudhuria kikao cha NEC. (PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO)

No comments: