Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiteta na Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa, Mwangalizi Mkuu
wa Kitaifa, wa WAPO Mission International
na Mwasisi wa Maono ya Harakati za Maadili
kwa Kizazi Kipya katika ukumbi wa BCIC Mbezi Beach jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa kuzindua Sera ya
Mtandao wa Vikundi vya Maadili na Uchumi Tanzania (MVIMAUTA) iliyoasisiwa na Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa, Mwangalizi Mkuu
wa Kitaifa, wa WAPO Mission International
na Mwasisi wa Maono ya Harakati za Maadili
kwa Kizazi Kipya katika ukumbi wa BCIC Mbezi Beach jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akinyanyua juu kitabu baada ya kuzindua Sera
ya Mtandao wa Vikundi vya Maadili na Uchumi Tanzania (MVIMAUTA) akiwa na mwasisi wake Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa, Mwangalizi
Mkuu wa Kitaifa, wa WAPO Mission International
na Mwasisi wa Maono ya Harakati za Maadili
kwa Kizazi Kipya katika ukumbi wa BCIC Mbezi Beach jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na vijana baada ya kuzindua Sera ya
Mtandao wa Vikundi vya Maadili na Uchumi Tanzania (MVIMAUTA) iliyoasisiwa na Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa, Mwangalizi Mkuu
wa Kitaifa, wa WAPO Mission International
na Mwasisi wa Maono ya Harakati za Maadili
kwa Kizazi Kipya katika ukumbi wa BCIC Mbezi Beach jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na msanii wa vichekesho ambaye pia ni mhubiri na mwimbaji wa nyimbo za injili Emmanuel Mgaya
maarufu kama Masanja Mkandamizaji baada
ya kuzindua Sera ya Mtandao wa Vikundi vya Maadili na
Uchumi Tanzania (MVIMAUTA) akiwa na
mwasisi wake Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa, Mwangalizi Mkuu
wa Kitaifa, wa WAPO Mission International
na Mwasisi wa Maono ya Harakati za Maadili
kwa Kizazi Kipya katika ukumbi wa BCIC Mbezi Beach jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment