KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Monday, March 31, 2014

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yawakomalia Wakwepa Kodi Kupitia Bandari ya Bagamoyo Mkoani Pwani na Dar es Salaam.

 Moja ya Jahazi (kushoto) lililokamatwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kutumika kuvusha bidhaa mbalimbali kutoka Visiwani Unguja na Pemba kwa njia na Magendo likiwa katika Bandari ya Bagamoyo Mkoani Pwani.
 Naibu Kamishna Idara ya Forodha na Ushuru wa Bidhaa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Patrick Kisaka,(kushoto) akizungumza na waandishi kuhusu vita kali iliyopo mbele yao na wakwepa kodi.Kulia Ofisa wa Uhusiano (TRA) Oliver Njunwa.
 Naibu Kamishna Idara ya Forodha na Ushuru wa Bidhaa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Patrick Kisaka, akionesha mafuta ya kula ambayo ndiyo bidhaa inayoongoza kuingizwa nchini bila kulipiwa ushuru.
 Naibu Kamishna Idara ya Forodha na Ushuru wa Bidhaa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Patrick Kisaka, akionesha Pikipiki ambazo wamezikamata kwa makosa ya kutumika kuvusha mizigo iliyokwepa kulipiwa ushuru.
 Naibu Kamishna Idara ya Forodha na Ushuru wa Bidhaa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Patrick Kisaka,akionesha mifuko iliyowekwa sukari ambayo inamashaka ya kutokuwa na ubora.
 Naibu Kamishna Idara ya Forodha na Ushuru wa Bidhaa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Patrick Kisaka, akionesha vipodozi vilivyokamatwa kwa kosa la kukwepa Ushuru na vinahofiwa siyo salama kwa afya za watumiaji.
 Godauni la Dar es Salaam lililohifadhiwa bidhaa mbalimbali ambazo ni za magendo zizoingizwa kwa njia ya panya.
 Naibu Kamishna Idara ya Forodha na Ushuru wa Bidhaa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Patrick Kisaka,akiwaonesha waandishi maziwa aina ya NIDO ambayo hayajalipiwa Ushuru wala kuhakikiwa na Mamlaka ya Chakula na Dawa TFDA kama yanafaa kwa matumizi ya binadamu yakiwa katika Godauni la Dar es salaam.
 Sehemu ya mafuta ya kula ambayo hayajalipiwa Ushuru yakiwa katika Jengo la Ofisi za TRA Bagamoyo.
 Naibu Kamishna Idara ya Forodha na Ushuru wa Bidhaa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Patrick Kisaka,(kushoto) akionesha waandishi moja ya Jahazi iliyokamatwa ikiwa na mali isiyolipiwa Ushuru,akiwa pamoja na maofisa wengine.
 Jengo linalotumika na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Ofisi za Bagamoyo Mkoani Pwani pamoja na Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA).
 Naibu Kamishna Idara ya Forodha na Ushuru wa Bidhaa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Patrick Kisaka, akionesha sehemu ya mafuta ya Kula yaliyokamatwa baada ya kukwepa kulia Ushuru.
Naibu Kamishna Idara ya Forodha na Ushuru wa Bidhaa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Patrick Kisaka(kulia) akizungumza na waandishi kuhusu kuwakabili wakwepa kodi wanaotumia njia ya Magendo kuingiza aina mbalimbali ya bidhaa nchini.Kushoto ni Ofisa wa Uhusiano (TRA) Oliver Njunwa.

No comments: