Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na viongozi na makamanda 
waandamizi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakati wa hafla ya kukabidhi
 vitabu 2069 kwa ajili ya matumizi katika maktaba za jeshi.Vitabu hivyo 
ni mchango binafsi wa Rais Katika kuboresha mafunzo ya kisasa 
jeshini.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi vitabu 2069  kwa uongozi  wa 
Jeshi(JWTZ) kwa matumizi katika maktaba mablimbali za jeshi 
nchini.Wapili kushoto ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na 
Watatu kushoto ni Mnadhimu Mkuu Jeshini Luteni Jenerali Samuel Ndomba.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi vitabu 2069  kwa uongozi  wa 
Jeshi(JWTZ) kwa matumizi katika maktaba mablimbali za jeshi 
nchini.Wapili kushoto ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na 
Watatu kushoto ni Mnadhimu Mkuu Jeshini Luteni Jenerali Samuel Ndomba.(Picha na Freddy Maro)

No comments:
Post a Comment