Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea salamu za maadhimisho ya 
miaka 50 ya Muungano kutoka kwa Rais wa Angola Jose Eduardo Dos Santos 
uliowasilishwa kwake na Waziri wa Serikali za mitaa(local Governments) 
Mhe.Bornito De Sousa ikulu jijini Dar es Salaam siku ya kilele cha 
sherehe hizo. (Picha na Freddy Maro)








No comments:
Post a Comment