Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Hildebrand Shayo akimkabidhi Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana nakala za kitabu alichotunga cha mwongozo wa stadi za namna ya kunukuu maandiko mbalimbali ya rejea kwa kazi za kitaaluma. Vitabu hivyo ambayo Kinana naye alivikabidhi kwa Mweyekiti wa Umoja wa Wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania (TAHLISO) Paul Makonda, ni kwa ajili ya kusambazwa kwenye vyuo mbalimbali nchini. Makabidhiano hayo yamefanyika leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam.
Kinana akimkabishi vitabu hivyo Mweyekiti wa Umoja wa Wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania (TAHLISO) Paul Makonda, kwa ajili ya kusambazwa kwenye vyuo mbalimbali nchini. Makabidhiano hayo yamefanyika leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam.
Kinana akiwa katika picha ya pamoja na mtunzi wa kitabu hicho cha 'Biginner's Referencing Resorce Book' Dk. Hildebrand Shayo na Mweyekiti wa Umoja wa Wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania (TAHLISO) Paul Makonda,(kulia) wakati wa makabishiano ya nakala za kitabu hicho, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo).
No comments:
Post a Comment