Promota wa mpambano wa Ubingwa wa WBF Mohamed Bawaziri Katikati akiwa na
mkanda wa ubingwa watakaogombania mabondia Nassibu Ramadhani (kushoto) na
Fransic Miyayusho wakati wa utambulisho wa mpambano huo utakaofanyika
katika ukumbi wa PTA Sabasaba tarehe 9 Desemba 2012
Bondia Nassibu Ramadhani (kushoto) akitunishiana misuri na bondia Fransic
Miyayusho wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika 9 Desemba
katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment