KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Thursday, December 20, 2012

RAIS KIKWETE AKABIDHIWA HATI YA BIMA YAKE YA MAISHA LEO IKULU

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiushukuru uongozi wa  Shirika la Bima la Taifa baada ya kupokea hati ya bima yake ya maisha Ikulu Dar es salaam.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kitabu cha kumbukumbu ya miaka 50 ya   Shirika la Bima la Taifa toka k Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wake  Bw. Justine Mwandu leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Shirika hilo ambalo limefufuk upya linaadhimisha miaka 50 ya kuanzisha kwake mwakani.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia hati ya bima yake ya maisha baada ya kukabidhiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa Bw. Justine Mwandu Ikulu Dar es salaam.
PICHA NA IKULU

No comments: