Muuguzi Mkuu wa Idara ya Afya kutoka Serikali ya Australia Bi. Catherine
Stoddart (kushoto) akimkabidhi funguo za magari ya kubebea wagonjwa
Kaimu Katibu mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Bi.Regina Kikuli
katika viwanja vya Wizara hiyo Dar es salaam. Magari hayo 2
yaliyotolewa kwa msaada wa wadau wa afya wa mashirika yasiyo ya
kiserikali ya Austaralia yatapelekwa kusaidia utoaji wa huduma za afya
ya mama na mtoto katika hospitali ya wilaya ya Kisarawe.
Kaimu Katibu Mmkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Bi.Regina Kikuli (kulia) akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) funguo za magari mawili ya kubebea wagonjwa aliyokabidhiwa na wadau wa mashirika yasiyo ya serikali kutoka Austaralia.(Picha na Aron Msigwa – MAELEZO).
No comments:
Post a Comment