Meneja Mkuu wa Zuku Tanzania, Fadhil Mwasyeba (kushoto) akiunguma na
waandishi wa habari (hawapo pichani) Dar es Salaam kwenye mkutano wa makubaliano ya mkataba wa kujiunga na
Selsom kwa ajili ya Malipo ya Zuku wengine ni Meneja wa Matangao na
Masoko wa Kampuni ya Selcom Wireless Paypoint Juma Mgori(katikati) na Meneja wa
Bidhaa na Uboreshwaji wa viwango Julio Batilia.
Meneja Mkuu wa Zuku Tanzania, Fadhil Mwasyeba (wa pili kushoto)
akibadilishana hati na Meneja wa matangao na Masoko wa Kampuni ya Selcom Wireless Paypoint, Juma Mgori (wapili kulia) Makubaliano ya kulipia king'amui cha Zuku kwa njia
ya mtandao yalifanyika Dar es Salaam kwa ajili ya kurahisisha hudumu hizo. Kulia ni Meneja wa
Bidhaa na Uboreshwaji wa viwango Julio Batilia.
No comments:
Post a Comment