Jengo jipya Tawi la Benki ya Exim lililopo Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro lililofunguliwa hivi karibuni.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama (kushoto) akikata utepe kuzindua tawi jipya la Benki ya Exim Mjini Moshi. Kulia Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo,Anthony Grant.
Wafanyakazi wa Benki ya Exim Tawi la Moshi Mjini wakiwa katika picha ya pamoja.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama (katikati) akisalimiana na Meneja Masoko Msaidizi wa Benki ya Exim Anita Goshashy (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo,Anthony Grant.(kushoto)
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim Anthony Grant,wakiteta.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim Anthony Grant,akizungumza.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama (katikati) akimuonesha fedha alizotoa katika mashine ya ATM, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim Anthony Grant,
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama,(kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim Anthony Grant na Meneja Masoko Msaidizi wa Benki ya Exim Anita Goshashy (kushoto) wakishikilia maua.
No comments:
Post a Comment