Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mshauri Mkuu wa Kijeshi wa Umoja wa Mataifa Luteni Generali Babacar Gaye baada ya kuonana naye Ikulu Dar es Salaam .Kushoto ni Mkuu wa Majeshi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange.
NSSF
TANGAZO
Friday, January 4, 2013
RAIS KIKWETE AONANA NA MSHAURI WA KIJESHI WA UMOJA WA MATAIFA IKULU DAR ES SALAAM.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mshauri Mkuu wa Kijeshi
wa Umoja wa Mataifa Luteni Generali Babacar Gaye baada ya kuonana naye
Ikulu Dar es Salaam. Kushoto Mbele ni Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Mahadhi Mahadhi
Juma Maalim, akifuatiwa na Mkuu wa Majeshi Tanzania Jenerali Davis
Mwamunyange, na wa pili kulia ni Balozi wa Kudumu wa Tanzania katika
Umoja wa Mataifa Balozi Tuvako Manongi na wengine ni maafisa waandamizi
katika JWTZ na Umoja wa Mataifa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mshauri Mkuu wa Kijeshi wa Umoja wa Mataifa Luteni Generali Babacar Gaye baada ya kuonana naye Ikulu Dar es Salaam .Kushoto ni Mkuu wa Majeshi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mshauri Mkuu wa Kijeshi wa
Umoja wa Mataifa Luteni Generali Babacar Gaye baada ya kuonana naye
Ikulu Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa
Majeshi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange.(PICHA NA IKULU)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mshauri Mkuu wa Kijeshi wa Umoja wa Mataifa Luteni Generali Babacar Gaye baada ya kuonana naye Ikulu Dar es Salaam .Kushoto ni Mkuu wa Majeshi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange.
No comments:
Post a Comment