KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Tuesday, February 19, 2013

MAMA SALMA AENDELEA NA ZIARA LINDI MJINI.

Wananchi wa Kata ya Makonde wakicheza ngoma ijulikanayo kwa jina la deda inayochezwa na watu wa kabila la Wamwela wanaoishi katika wilaya ya Lindi Mjini wakati Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mama Salma Kikwete alipotembelea tawini hapo.
Wananchi wa Kata ya Makonde wakicheza ngoma ijulikanayo kwa jina la deda inayochezwa na watu wa kabila la Wamwela wanaoishi katika wilaya ya Lindi Mjini wakati Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mama Salma Kikwete alipotembelea tawini hapo
Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya kuku kutoka kwa wananchi wa Kata ya Makonde iliyoko katika Manispaa ya Lindi wakati alipofanya ziara ya kikazi katika kata hiyo. (PICHA NA JOHN LUKUWI).

No comments: