NSSF
TANGAZO
Tuesday, February 5, 2013
MATATIZO YA BARABARA,MADARAJA NA USALAMA KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM.
Wakazi wa maeneo ya Mbagala Shimo la Mchanga Dar es Salaam inayounganisha maeneo ya Kwa Mangaya wanaotumia kuvuka katika daraja la Mto Mchikichini wenye usafiri wa magari hayapiti na miguu mvua ikinyesha maji yanapojaa na wanashindwa kuvuka,Draja hilo lililoharibika zaidi ya mwaka mmoja sasa hakuna juhudi yoyote ya kulitengeneza.
Daraja la Mto Mchikichini lisilojengwa kwa zaidi ya mwaka mmoja linasumbua wakazi wa maeneo hayo.
Barabara ya Moringe kwenda maeneo ya Shimo la Mchanga nayo imezibwa na mmoja wa Viongozi wa Serikali ya Mtaa huo,kusababisha watumiaji kupata taabu ya kupita.
Hakuna njia kwa magari na watu imezibwa.
Wafanyakazi wa gari hili wanaonekana pichani kutojali usalama wa maisha yao kama walivyokaa juu ya magunia ya mkaa wakiwa katika barabara ya Kawawa maeneo ya Kinondoni Dar es salaam.
Je wanajitaka kuendelea kuishi kama kutatokea tatizo litalomlazimu dereva kufunga breki?.(PICHA NA TANZANIA LIVE BLOG)
No comments:
Post a Comment