Bango lenye michoro ya nyumba za asili zilizomo ndani ya Kijiji cha Makumbusho.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu,(kushoto) pamoja na Afisa Elimu wa Makumbusho,Lucina Shayo, wakiangalia ngoma ya kabila la Wamakondo baada ya kuzungukia maeneo mbalimbali katika kijiji hicho.
Mmoja wa wafanyakazi wa Makumbusho akisoma lisara kwa Waziri.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu,(kulia) akiteta na Mkurugenzi Idara ya Mambo ya Kale,Donatius Kamamba.
Waziri Nyalandu akiwa na wenyeji wake katika msitu uliomo kwenye Kijiji hicho.Waziri Nyalandu akiongozwa na Kaimu Mkurugenzi Kijiji cha Makumbusho,Flora Vicent (kushoto)
Waziri Nyalandu akiangalia vinyago vinavyotengenezwa kwa kutumia majani ya mgomba, anayevitengeneza ni Petro Maige (kushoto) anayetoka Mkoani Kigoma yupo ndani ya Kijiji.
Waziri Nyalandu (kushoto) akikaribishwa katika kijiji na viongozi wa kijiji cha Makumbusho ya Taifa Mkurugenzi Idara ya Mambo ya Kale,Donatius Kamamba (wapili kushoto),Kaimu Mkurugenzi Mkuu,Eliwasa Maro (wa pili kulia) na Bosi umateumate (fedha),Simon Mality.
Waziri Nyalandu akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Kijiji,Flora Vicent.
Waziri Nyalandu akisaini kitabu cha wageni.
Waziri Nyalandu akisaini kitabu cha wageni wanaoingia Kijijini hapo.
Waziri akiongozwa kupita sehemu mbalimbali za Kjiji hicho.
Waziri akipata maelezo kutoka kwa Afisa Elimu wa Makumbusho,Lucina Shayo (kulia).
Wasanii wa Kikundi cha Ngoma cha Mchabwede kutoka Mkoa wa Mtwara,kutoka kushoto ni Rose Mateo Patime,Ester Fundi Warambo na Yasinta Barnabas Thobias.
Waziri akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Kijiji cha makumbusho,Flora Vicent (katikati)
Waziri akiingia katika moja ya nyumba makabila yaliyopo nchini.
Waziri akiangalia akipata maelezo ya majani ya mti wa Isale,majani hayo yanatumika dawa ya kutengeneza mambo mazuri au kuharibu mambo hayo ambao unatumika na kabila la Wachaga, lakini mpaka upate maelekezo kutoka kwa wazee wa kabila hilo.
No comments:
Post a Comment