Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Mohamed Shein,akizindua mbio za Mwenge wa uhuru Kitaifa kwa
kuuwasha huko Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,(kulia) Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Tanzania
Bara,Dk.Fenelle Mukangara,na Waziri wa Ustawi wa Jamii Maendeleo ya
Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar, Zainab Omar
Mohamed.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Mohamed Shein,akizindua mbio za Mwenge wa uhuru Kitaifabaada ya kuuwasha huko Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,mbele ya maelfu ya wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Mohamed Shein,akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Kiongozi wa Mbio za Mwenge Juma Ali Sima,(kushoto) kutoka Mkoa wa Kusini Unguja,baada
kuzindua rasmi mbio hizo Kitaifa huko Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoawa Kusini Pemba.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
No comments:
Post a Comment