Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Bw. Laurence Bay, Mkurugenzi
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore. Kushoto ni Balozi wa
Tanzania India na Singapre Mhandisi, John Kijazi na mbele yao ni Naibu
Mkurugenzi wa Itifaki wa Singapore Bi. Christine Tay.
Akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe,Waziri wa Aridhi, nyumba na Maendeleo ya Makazi,Anna Tibaijuka,(kulia) na Waziri wa Viwanda na Biashara,Abdallah Kigoda,(wa pili kulia).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Kasulu mjini Mhe
Moses Machali pamoja na wadau wengine wakati akiwasili Singapore.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jijini Singapore leo wakati
alipokutana na wafanyabaishara za ujenzi wa nchi hiyo marav tu baada ya
kutua kutoka Japan alikokuweko kwa ziara ingine ya kikazi. Katika
mkutano huu Rais Kikwete aliwakaribisha wafanyabishara hao wa Singapore
Tanzania kuwekeza katika sekta ya nyumba wakati wa chakula cha jioni
kilichiandaliwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jijini Singapore leo wakati
alipokutana na wafanyabaishara za ujenzi wa nchi hiyo marav tu baada ya
kutua kutoka Japan alikokuweko kwa ziara ingine ya kikazi. Katika
mkutano huu Rais Kikwete aliwakaribisha wafanyabishara hao wa Singapore
Tanzania kuwekeza katika sekta ya nyumba wakati wa chakula cha jioni
kilichiandaliwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)-PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment