Turn off for: Swahili
Skauti
Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania mteule Mhe. Mwantumu Mahiza akisubiri
kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akijiandaa kuvishwa skafu na skauti kabla ya
kumuapisha Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza
akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivishwa skafu na skauti kabla ya
kumuapisha Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza
akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es
salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi baada ya kumuapisha Skauti Mkuu wa
Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha
Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi vitendea kazi Skauti Mkuu wa Chama
cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha Ikulu
jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es
salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na Skauti Mkuu wa Chama cha
Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha Ikulu jijini
Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim
Ahmed Salim, Jaji Kiongozi Fakih Jundu na Skauti Mkuu wa Chama cha
Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha Ikulu jijini
Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza pamoja na viongozi wa maskatu na skauti
baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza na familia yake baada ya kumuapisha
Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza pamoja na waheshimiwa wabunge ambao ni
maskauti baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni
23, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na skauti Ismail Aden Rageh na
wabunge maskauti Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza pamoja na wanachama wa UWT wilaya ya
Ilala baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23,
2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza na viongozi wa skauti nchini baada ya
kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na skauti Livingstone Lusinde ambaye pia
ni Mbunge wa Mtera Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
No comments:
Post a Comment