Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Dkt,Emmanuel Nchimbi,akikagua gwaride la Wahitimu wa mafunzo ya awali ya askari polisi wakati wa sherehe za kufunga mafunzo hayo katika Chuo cha polisi Moshi (CCP).Askari Polisi elfu tatu na tisini na mbili walihitimu mafunzo,wakiwemo askari wa Uhamihaji 51.
Askari Polisi waliohitimu mafunzo,wakionesha Pikipiki inavyoweza kusaidia katika kukabiliana na wahalifu.
No comments:
Post a Comment