Mkurugenzi wa Bodi wa VETA kanda ya Dar es
Salaam, Charles Philimon akimsikiliza
kwa makini Mwalimu wa VETA Diptoma Program katika taaluma ya ubunifu wa nguo na
mavazi Ben Moris wakati alipotembelea
katika banda la VETA lililopo katika maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa
Dar es Salaam.Kulia ni Meneja wa rasmali
watu wa VETA Joyce Rweyemamu.
Mkurugenzi wa Bodi wa VETA kanda ya Dar es
Salaam, Charles Philimon akiangalia moja
ya suti iliyobuniwa na wanafunzi wa VETA Chang’ombe wakati alipotembelea katika banda la VETA
lililopo katika maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam.Kulia
ni Meneja wa rasmali watu wa VETA Joyce Rweyemamu na Kushoto ni
mwanafunzi wa Diploma ya ubunifu wa nguo wa chuo hicho Paulin Emmanuel ambeye
ndiye aliyeshona suti hiyo.
Mkurugenzi wa bodi wa VETA kanda ya Dar es
Salaam, Charles Philimon akionyeshwa
moja ya pochi na m wanafunzi wa VETA
Chang’ombe Angle Mbele wakati alipotembelea katika banda la VETA
lililopo katika maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam.Kulia
ni Meneja wa rasmali watu wa VETA Joyce Rweyemamu na Kushoto ni mwanafunzi wa
Diploma ya ubunifu wa nguo wa chuo hicho Paulin Emmanuel ambeye ndiye
aliyeshona suti hiyo.
No comments:
Post a Comment