Maofisa wa NMB Idara ya biashara ya Kilimo, kwanza kulia ni Sierk Plaat ambae ni Mchambuzi Mwandamizi toka benki ya Rabobank, Robert Paschal Mkuu wa Idara Mikopo ya Kilimo NMB na Carol Nyangaro Mtafiti, Mchambuzi wa mambo ya kilimo wakionyesha kitabu ambacho kimebeba ripoti ya mfumo wa stakabadhi ghalani
Mkuu
wa Idara ya biashara za kilimo NMB, Robert Paschal (katikati) akizungumza na
waandishi wa habari,(hawapo pichani) na kuwasilisha ripoti ya biashara za kilimo zifanywazo na
Benki ya NMB.
Sehemu ya waandishi wa habari waliohudhuria hafla ya uwasilishaji wa ripoti ya biashara ya kilimo.
Sehemu
ya Maofisa wa NMB wanaoshiriki maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa Dar es Salaam.
Sehemu ya wapasha Habari wa Vyombo mbalimbali vya Habari na Ofisa wa NMB,(kulia)
Mkuu wa Idara ya biashara za kilimo NMB, Robert Paschal (katikati) akizungumza na waandishi wa habari,(hawapo pichani) na kuwasilisha ripoti ya biashara za kilimo zifanywazo na Benki ya NMB.
Wapasha Habari wakichukua Habari kwa Kamera zao wakati wa mkutano wa NMB na wao.
wafanyakazi wa NMB wakifuatilia jambo wakati wa mkutano na Wapasha Habari wa Vyombo mbalimbali,(hawapo pichani)
No comments:
Post a Comment