Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd akishukuru
uongozi wa NMB kwa kuandaa wasaa mzuri na kushiriki katika kukamilishaMwezi Mtukufu wa Ramadhani.Hii ilikua katika futari iliyoandaliwa naBenki ya NMB tawi la Zanzibar kwenye hoteli ya Zanzibar Ocean view Zanzibar mwishon mwa wiki.
Mkuu wa kitengo cha akaunti binafsi wa NMB, Abdulmagid Nsekela
akiongoza wageni waalikwa katika kupata futari.
Meneja Mawasiliano NMB, Josephine Kulwa nae hakubakia nyuma
kushiriki wasa mzuri na wateja wa NMB.
Maofisa wa NMB wakiwa wameambatana kuingia ukumbini na mgeni
rasmi(katikati) katika hafla hii ya kushiriki futari na wateja wa NMB mjini Zanzibar.
KWA UFUPI
Mwishoni mwa wiki Benki ya NMB ilishiriki futari na wateja wake jijini Zanzibar.Hii ni katika kuendeleza mahusiano mazuri ambayo yamekwisha jengeka baina ya wateja wa NMB na Benki ya NMB.
No comments:
Post a Comment