KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Thursday, August 29, 2013

ZIARA YA RAIS DKT,ALI MOHAMED SHEIN,NCHINI UHOLANZI.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Waziri wa Biashara za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Nchini Uholanzi Bibi.Lilianne Ploumen,alipofika Ofisini kwake Mjini The Hague jana akiwana ujumbe wake  katika ziara ya siku tano Nchini humo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) na Ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo na Viongozi wa Serikali  Nchini Uholanzi,chini ya Kiongozi wao Waziri wa Biashara za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa  Bibi.Lilianne Ploumen,(wa pili kushoto) katika Ofisi yake katika Mji wa The Hague Nchini Uholanzi.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Waziri wa Biashara za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa  Bibi.Lilianne Ploumen,nje ya Ofisi yake katika Mji wa The Hague Nchini Uholanzi,akiwa katika ziara ya siku tano katika Mji huo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Kiongozi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Dutch Shell Peter Voser,alipofika katika Makamo Makuu ya Kampuni hiyo katika Mji wa The Hague Nchini Uholanzi jana akiwa katika ziara ya siku tano na ujumbe wake
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Kiongozi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Dutch Shell Peter Voser,(katikati) wakiwa katika mazungumzo ya pamoja na Waziri wa Ardhi,Maji Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban,(kulia) na Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Mafuta ya Dutch  Shell na Serikali za Afrika Mashariki Axel Knospe,(kushoto) mara baada ya kuwasili mkatika Mako Makuu ya kampuni hiyo Mjini The Hague akiwa katika ziara ya Ushirikiano katika kukuza Uchumi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na  Kiongozi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Dutch Shell Peter Voser,katika Ofisi ya makamo Makuu ya Kampuni ya Mafuta ya Dutch Shell,katika Mji wa The Hague Nchini Uholanzi.
 Kiongozi anayeshuhulikia masuala ya Uvumbuzi wa mafuta katika nchi zilizo chini ya Jangwa la Sahara,Alastair Milne,(kushoto) akijibu suala  wakati wa mazungumzo kati ya Kamapuni ya Mafuta ya Dutch Shell na Ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara ya siku tano na ujumbe wake Nchini Uholanzi.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)akifafanua jambo wakati wa mazungumzo kati ya Kampuni ya Mafuta ya Dutch Shell na Ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,katika ukumbi wa Makamo Makuu ya Kampuni hiyo Mjini The Hague nchini Uholanzi,(kutoka kulia) Waziri wa Ardhi,Maji Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban, Kiongozi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Dutch Shell Peter Voser,(kushoto) Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi Mahadhi Juma Maalim,na John  Crocker,ni miongozi mwa Viongozi wa Kampuni ya Shell.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, Kiongozi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Dutch Shell Peter Voser,(kulia)wakiwa katika mazungumzo kati ya ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Uongozi wa Kampuni ya Mafuta ya Dutch Shell, akiwa katika ziara nchini Uholanzi.[Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]

No comments: