BODI YA KAMPUNI YA MAGAZETI YA SERIKALI (TSN) YAZINDULIWA RASMI LEO DAR ES SALAAM
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya
Magazeti ya Serikali (TSN) wachapaji wa Magazeti ya Daily News,
Habarileo na Spotileo, Prof. Moses Warioba akizungumza wakati Waziri wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dr. Fenela Mukangara alipozundua
Bodi hiyo leo.
Picha ya pamoja kati ya Waziri wa
Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dr. Fenela Mukangara (katikati) na
Wajumbe wa Bodi ya Magazeti ya Serikali (TSN) mara baada ya kuzindua
rasmi bodi hiyo leo jijini Dar es Salaam. Wajumbe hao kutoka kushoto ni
Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN, Gabriel Nderumaki, Dr. Evelyn Mweta,
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara, Prf. Elisante Ole Gabriel, Mwenyekiti wa
Bodi, Prof. Fenela Mukangara, Consolatha Ishebabi na Alfred Nchimbi.
No comments:
Post a Comment