Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Saidi Mwema akikata utepe kuashiria
uzinduzi wa tawi la Kilwa Road la Chama cha Kuweka na Kukopa cha Jeshi
la Polisi URA-Saccos jana jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP, Saidi Mwema akikata utepe kuashiria
uzinduzi wa bahati nasibu ya kushindania pikipiki na cherehani
itakayochezeshwa na Chama cha Kuweka na Kukopa cha Jeshi la Polisi, Ura
Saccos tawi la kilwa road. Tawi hilo lilizinduliwa na IGP.( Picha Na
Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi).
No comments:
Post a Comment