Waandamanaji wakiwa na mabango yanayopinga mauaji ya Tembo.
Wanaharakati walioshiriki Maetembezi kutoka Arusha mpaka Dar es Salaam kwa siku 19 wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu (wa nne kulia waliosimama).
Kiongozi wa Matembezi, Pratik Patel akionesha majeraha sehemu ya mguu wa kulia aliyoyapata kutokana na matembezi hayo.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu,(katikati) akiongoza matembezi maeneo ya Jangwani jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu,(wa pili kushoto) Mbunge wa Mafia,Abdulkarim Esmail Hassan Shah (kushoto) pamoja Kiongozi wa matembezi,Pratik Patel (wa pili kulia) wakitembea.
Matembezi yapamba moto.
Mabago yanayopinga mauaji ya Tembo yakioneshwa.
Katikati Mbunge James Daudi Lembeli (wa tano msitari wa mbele) na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira akiwa kwenye matembezi.
Vijana wa Viwanja vya mnazi Mmoja wakigombea mafulana yenye Ujumbe unaokataza mauaji ya Tembo.
Kiongozi wa Matembezi akisoma risala.
Waziri akimpatia cheti cha matembezi Kiongozi wa Matembezi.
Waziri akizungumza wakati wa kuhitimisha matembezi Mnazi Mmoja Dar es Salaam.
Waziri akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa wizara pamoja na mfano wa hundi.
Waziri akipokea mfano wa hundi kutoka kwa kiongozi wa Matembezi.
No comments:
Post a Comment