Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais
Paul Kagame wa Rwanda wakati walipokutana faragha sambamba na mkutano wa wakuu wa
nchi za Maziwa Makuu uliofanyika katika Hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort,
jijini Kampala,Uganda.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika
mazungumzo na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakati walipokutaba na kufanya
mazungumzo ya faragha, katika Hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort, jijini
Kampala, Uganda.(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment