Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi wa heshima
watakaoiwakilisha Tanzania katika majimbo mbalimbali nchini Marekani
wakati wa hafla ya kuwapa hati za utambulisho zilizofanyika katika
ubalozi wa Tanzania jijini Washington Marekani.(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment