Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Sixtus Mapunda,amekutana na wazee waasisi wa Jumuia hiyo, Ofisini kwake, Makao Makuu ya
UVCCM, Barabara ya Morogoro, jijini Dar es Salaam. na kuwa na
mazungumzo ya kina na waasisi hao.Pichani, Mapundfa (kushoto)
akiwasikiliza waasisi hao. Wapili kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM,
Mfaume Ally Kizigo. (Picha na Bashir Nkoromo).
No comments:
Post a Comment