Wahamiaji haramu kutoka nchini Malawi wakikita kambi Wizara ya Mambo ya Ndani kusubiri hati za kuishi nchini.
Wahamiaji haramu wa Malawi wakiwa katika mistari kusubiri kuingia ndani ya Ofisi za Mambo ya Ndani.
wakiwa Mambo ya Ndani.
wengine wakiondoka baada ya kupata hati za kuishi nchini.
wakisubiri kuingia Ndani.
Wahamiaji haramu
wanaodai viongozi wa Dini kutoka Nigeria ambao wapo nchini zaidi ya miaka
miwili wakiwa chini ya ulinzi katika Kituo cha Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam
jana baada ya kukamatwa eneo la Tabata. Kutoka kushoto ni Augustine Promise
Ndubilisi,Keneth Keleshi Onyebuchi James Anuka Ateli,Moses IWahfenyichukwu
Opara. Kati ya hawa wanne wawili walikimbia.
No comments:
Post a Comment