KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Wednesday, October 9, 2013

AJALI YA PIKIPIKI YAMPOTEZEA MGUU WA KUSHOTO BABA HUYU AKIWA MAKUTANO YA BARABARA YA MANDELA NA NYERERE DAR ES SALAAM.

Wasamalia wema wakijaribu kumsaidia baba huyu aliye pata ajali akiwa anaendesha Pikipiki yenye namba ya usajili SM 4331 baada ya kujaribu kuvuka eneo la mataa ya kuongozea magari eneo la Tazara akitokea upande wa Mjini alipo sukumwa na gari lililobeba Kontena lenye futi 40 baada ya kujaribu kupita kwa kasi kabla ya kuruhusiwa na askari anaeongoza magari hapo.Gari hilo lilitokea upande wa Bandarini na kuelekea upande wa Kiwanda cha Sigara.
 Baba aamini kilichotokea ndani ya sekunde moja ya pigo lililosababisha kupoteza mguu wake.
Hii ndiyo sehemu ya mguu uliovunjika na kumpelekea ulemavu Baba huyu

No comments: