KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Thursday, October 17, 2013

BIMA MPYA YA KISASA YA SAFARI- SAFARI NJEMA INAYOKUPA KINGA YA SIKU 7 UWAPO SAFARINI NA UNAPOTUMIA VYOMBO VYA MOTO POPOTE ULIPO YAZINDULIWA DAR ES SALAAM.


 Mkurugenzi Mkuu wa Ndege Insurance Dkt,Sebastian Ndege akizungumza wakati wa Uzinduzi uliofanyika Kituo cha mabasi yaendayo mikoani Ubungo Dar es Salaam. 
 Mkurugenzi Mkuu wa African Life Assurance,Juliou Magabe,akizungumza.
 Wadau wa usafiri wakifuatilia shughuli za Uzinduzi huo
 Wadau wakifuatilia jambo wakati wa Uzinduzi
 Mwenyekiti wa Bodi ya African Life Assurance,Mzee Ibrahimu Kaduma akizungumza.
 Wadau wapo makini kufuatilia tukio hilo.
Mkurugenzi wa Usalama wa Uchukuzi nchini Tumpe Mwaijande (kushoto) akikata Utepe kuzindua Bima ya Safari-Safari Njema.huku akishuhudiwa na wakuu wa Makampuni ya Bima.
Mkurugenzi wa Usalama wa Uchukuzi nchini Tumpe Mwaijande (kushoto) akifunua kitambaa wakati wa kuzindua Bima ya Safari-Safari Njema.huku akishuhudiwa na wakuu wa Makampuni ya Bima
Wadau kutoka kushoto Bosi wa EAGgroup Imani Kajula,Sebastian Ndege na Juma Mgori wa Selcom wireless
 Wakuu wa Makampuni na watendaji wakiwa katika picha ya pamoja.
 Juma Mgori (kushoto) wa Selcom na Sebastian Ndege (kulia) wakiwa na mashine ya Selcom.
Baadhi ya wananchi wakilipia Bima ya siku 7 ya Tsh 5000 ili kujikinga na ajali zinazotokana na matumizi ya vyombo vya moto kama ikitokea ajali itakayopoteza viungo au kifo familia ya muhathirika italipwa Tsh milioni 10.
 Kikundi cha muziki wa Bendi ya Sky Light kikitoa Burudani wakati wa Uzinduzi wa Bima ya Safari-Safari Njema.
 Wadau wakifuatilia shughuliza Uzinduzi.
 Wadau
 Wadau
Wadau.

No comments: