Mtangazaji
wa ITV, Ufo Saro (pichani) amepigwa risasi na kijana Mushi
anayeripotiwa kuwa ni mume au mchumba wa mtangazaji huyo kwa mujibu wa
taarifa za awali mama mzazi wa Ufo amepigwa risasi ya kifuani na kufa
papo hapo leo alfajiri.
Mushi amempiga risasi ya tumbo na mguuni Ufo ambaye mpaka sasa anaendelea na matibabu Hospitali ya Tumbi Kibaha na tukio hili limetokea Kimara. Baada ya tukio hilo, Mushi alijipiga risasi kufa papo hapo. SOURCE RADIO ONE

Habari zilizotufikia sasa hivi zinasema kuwa Ufo amekimbizwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili kwa Matibabu zaidi.
No comments:
Post a Comment