Rais Kikwete akiangalia machungwa pamoja na Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa Group,Said Salim Bakhresa.
Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma wakitembelea ndani ya Kiwanda.Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma wakitembelea ndani ya Kiwanda.
Rais Jakaya Kikwete (katikati) akiangalia kinywaji na Mkewe Mama Salma.
Rais Kikwete akiangalia kinywaji.
Rais Kikwete akioneshwa moja ya Mitambo Kiwandani.
Vinywaji vikiwa katika uzalishaji Kiwandani.
Rais Kikwete akiwasalimia watu mbalimbali waliofika katika Ufunguzi wa Kiwanda kilichopo Mwandege Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.
Rais Kikwete akimpongeza Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa Group,Said Salim Bakhresa.
Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa Group,Said Salim Bakhresa(kulia) akizungumza na Rais Kikwete.
Rais Kikwete akisalimiana na mmoja wa viongozi wa Bakhresa Group.
Rais Kikwete akisalimiana na mwenyekiti wa Bakhresa Group.Said Salim Bakhresa.
Rais Kikwete akisalimiana na mmoja wa Viongozi wa Bakhresa Group.
Rais Kikwete akisalimiana na mmoja wa Viongozi wa Bakhresa Group.
Rais Kikwete akisalimiana na mmoja wa Viongozi wa Bakhresa Group.
Rais Kikwete akisalimiana na Omar Bakhresa
Mbunge wa Mkuranga Adam Malima (kushoto) na Mama Salma Kikwete.
Rais Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salima Kikwete (kushoto) Mwenyekiti wa Makampuni ya bakhresa Group Said Salim Bakhresa (wa pili kushoto)
Rais akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Makampuni ya Bakhresa Group
Rais Jakaya Kikwete akikata Utepe kufungua Kiwanda, Kutoka kushoto Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa Group,Said Salim Bakhresa na Waziri wa Viwanda na Biashara Abdallah Kigoda.
Kwa Ufupi
Rais Jakaya Kikwete amempongeza sana Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa Group,Said Salim Bakhresa kwa kazi nzuri anayofanya ya kuwapatia Ajira watu 400.
Kuhusu tatizo la umeme wanalolipata katika Kiwanda cha Bakhresa Food Products amesema analifanyia kazi kuanzia leo pia amemuomba aongeze uzalishaji ili aendelee kuwa mlipa kodi mzuri zaidi wa Serikali na atamsaidia kuhakikisha matatizo yanayomuhusu yanamalizika.
No comments:
Post a Comment