NSSF
TANGAZO
Monday, October 28, 2013
RAIS KIKWETE MGENI RASMI JUBILEI YA MIAKA 100 YA PAROKIA YA LUGOBA.
Rais Jakaya Kikwete akihutubia katika Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani,wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.i ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki wa Jimbo la Morogoro Onesphory Mkude, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga Anthony Banzi, viongozi wa mkoa wa pwani na kamati ya walei ya Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 ya Parokia hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki wa Jimbo la Morogoro Onesphory Mkude, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga Anthony Banzi, viongozi wa mkoa wa pwani na kwaya pamoja na watoto wa shule ya Jumapili katika Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 Parokia hiyo.

Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua zahanati katika Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.i ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwaonesha Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki wa Jimbo la Morogoro Onesphory Mkude, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga Anthony Banz na viongozi wa mkoa wa pwani iliyokuwa inaendeshwa na darasa alilosomea wakati alipokuwa shule ya kati ilinayoendeshwa na Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani,wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.
Rais Jakaya Kikwete na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki wa Jimbo la Morogoro Onesphory Mkude, wakishuhudiwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga Anthony Banzi, wakiweka jiwe la msingi katika kiwanja kitakachojengwa jengo la vijana katika Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment