Wauguzi wakimtoa Dkt Sengondo Mvungi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na kumpeleka katika hospitali ya AgaKhan kwa ajili ya kipimo cha TC scan.
Dkt Sengondo Mvungi,akiwa hoi baada ya kipimo alipelekwa katika chumba cha wagonjwa mahututi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili akiwa hana fahamu na atakuwa katika uangalizi kwa muda wa saa 72.
KWA UFUPI
Dkt,Sengondo Mvungi ni Mjumbe wa halmashauri ya Chama cha NCCR-Mageuzi na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Dkt,Mvungi alipatwa na mkasa huo nyumbani kwake Kibamba Manispaa ya Kinondoni mkoa wa Dar es Salaam usiku saa 6:00 wa Jumamosi ya Novemba 3 2013.
Alivamiwa na Vibaka Majambazi 6 waliomnyang"anya Laptop simu za mkononi za kwake pamoja za mkewe na kudai fedha baada ya hapo mashambulizi yalianza na kumjerui akakimbizwa katika Hospitali ya Tumbi Kibaha nkoa wa Pwani na Hatimaye kupelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili MOI ambapo yupo kwa matibabu.
No comments:
Post a Comment