KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Thursday, November 28, 2013

MAELFU WAFURIKA MKUTANO WA CCM MJINI TUNDUMA.

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutumia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Shule ya Maingi Mwaka, mjini Tunduma, wilayani Momba jioni hii, Nov 28, 2013, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kuzungumza nao njia ya kuzitatua, katika mkoa wa Mbeya.

 Wananchi wakiwa wamembeba Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakati wa mkutano mkubwa wa hadhara uliohudhuria na maelfu ya wananchi katika uwanja wa shule ya msingi Mwaka mjini Tunduma wilayani Momba mkoani Mbeya,
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara uliohudhuria na maelfu ya wananchi katika uwanja wa shule ya msingi Mwaka mjini Tunduma wilayani Momba mkoani Mbeya.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara uliohudhuria na maelfu ya wananchi katika uwanja wa shule ya msingi Mwaka mjini Tunduma wilayani Momba mkoani Mbeya.
Asha-Rose Migiro akiselebuka na wananchi kwenye mkutano, Uanja wa shule ya  Mwaka, Tunduma, 5. Dk. Asha-Rose Migiro akiselebuka na wananchi kwenye mkutano, Uanja wa shule ya  Mwaka, Tunduma.
  Kinana akizungumza na Kijana Martin Thomas (38) mjini Tunduru, aliyezaliwa bila mikono,mkutano mkubwa wa hadhara uliohudhuria na maelfu ya wananchi katika uwanja wa shule ya msingi Mwaka mjini Tunduma wilayani Momba mkoani Mbeya.

No comments: