Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake wakati wa ufunguzi wa
Mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye
Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Serikali wakati akiwasili kwenye Ukumbi
wa Julius Nyerere kwa ajili kufungua mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za
kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es
Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya Viongozi na wadau katika na Mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Fedha Saada Salum,akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo,
kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kwa ufunguzi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DKt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza jambo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker,
wakati akiondoka kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere baada ya kufungua rasmi
Mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika jijini
Dar es Salaam,
Baadhi
ya wadau walioshiriki katika mkutano huo wa majadiliano.
Baadhi
ya wadau walioshiriki katika mkutano huo wa majadiliano.
No comments:
Post a Comment