Baadhi ya washiriki wa warsha ya viongozi wa kimila wa jamii ya
ufugaji kuhusu afya ya uzazi na kuzuia maambukizi ya ukimwi wanaonekana
wakisikiliza kwa makini mambo yaliyokuwa yakiongelewa kwenye warsha
hiyo.

Baadhi ya wafugaji wa jamii ya wamasai wakicheza ngoma za asili wakati
wa ufunguzi wa warsha hiyo kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar.
Baadhi ya washiriki wa warsha ya viongozi wa kimila wa jamii ya wafugaji
wqakisikiliza kwa makini hotuba ya ufunguzi iliyokuwa ikitolewa na Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere.

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA,
Mama Salma Kikwete akifungua rasmi warsha ya siku moja ya viongozi wa
kimila wa jamii ya wafugaji kuhusu afya ya uzazi na kuzuia maambukizi ya
ukimwi iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere hapa Dar.

Mke wa RaiS Mama Salma Kikwete akivishwa mavazi ya wafugaji wa
jamii ya wamasai wakati wa warsha ya viongozi wa kimila iliyofanyika Dar. Baadaye Mama Salma alipokea zawadi kwa ajili ya
Mheshimiwa Rais Dkt. Jakaya Kikwete.

Olaiboni (CHIFU) wa Kabila la Wamasai Bwana Tikwa Moreto akizungumza na washiriki wa warsha.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifanya mazungumzo na Oloiboni Bwana Tikwa Moreto wakati wa warsha.
Katibu Mtendaji wa WAMA Bwana Daud Nassib akizungumza na wajumbe wa
warsha ya viongozi wa kimila wa jamii ya wafugaji hapa nchini
iliyofanyika.(PICHA NA JOHN LUKUWI)
No comments:
Post a Comment