Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi
mgodi unaomilikiwa na kampuni ya Nsagali uliopo Ushirombo wilayni Bukombe, Mkoa
wa Geita jana.Kushoto ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh.Masele,Waoili
kushoto ni mmoja wa wamiliki wa mgodi huo Bwana Emmanuel Silanga, Wanne kulia
ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mh.Profesa Kalikoyela Kahigi na kulia mwisho ni
Mkuu wa Mkoa mpya wa Geita Said Magalula.
Mmoja wa Wamiliki wa Mgodi wa Ngasali Bwana Emmanuel
Silanga kulia akimwonesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete uchenjuaji wa dhahabu
unaofanyika katika mgodi huo uliopo Ushirombo,Wilayani Bukombe,mkoa wa Geita
jana.(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment